
Sheria ya Familia ni sehemu ya sheria inayoshughulikia familia, mahusiano na watoto.
Inajumuisha mambo kama vile talaka, mipango ya watoto wako, mali yako, msaada wa mume/mke au mpenzi wa muda na msaada wa watoto.
Sheria ya Familia ni tofauti na sheria ya ulinzi wa watoto – angalia tofauti gani kati ya sheria ya ulinzi wa watoto na sheria ya familia?










