Katika Family Violence Law Help unaweza kujifunza kuhusu unyanyasaji wa nyumbani na kifamilia na sheria nchini Australia.
Kuhusu Unyanyasaji wa Nyumbani na Kifamilia
Ni nini, inavyoathiri watoto, hadithi za uongo na zaidi
Huduma ya Utetezi na Msaada wa Kifamilia
Msaada katika mahakama za kifamilia
Pata Msaada
Pata huduma za ushauri wa kisheria, nyumba, msaada na zaidi
Amri za Unyanyasaji wa Nyumbani
Pia hujulikana kama Amri za Kuingilia Kati, FVO, ADVO au Amri za Kuzuia
Sheria ya Kifamilia
Mipango ya watoto, talaka, kugawana mali, msaada wa watoto na zaidi
Sheria ya Ulinzi wa Watoto
Wakati watoto wako hatarini kudhariwa au wanaweza kutengwa na familia yao





